buchspektrum Internet-Buchhandlung

Neuerscheinungen 2018

Stand: 2020-02-01
Schnellsuche
ISBN/Stichwort/Autor
Herderstraße 10
10625 Berlin
Tel.: 030 315 714 16
Fax 030 315 714 14
info@buchspektrum.de

Anacletus Ngenza

Sabatiko Katika Mwaka Wa Huruma


2018. 72 S. 220 mm
Verlag/Jahr: GLOBEEDIT 2018
ISBN: 6-13-824740-X (613824740X)
Neue ISBN: 978-6-13-824740-1 (9786138247401)

Preis und Lieferzeit: Bitte klicken


Katika kipindi chake cha mapumziko (sabbaticum) amecharaza mawazo yake katika kijitabu hiki kwa kusudi la kuwaonjesha uhondo wa pumziko la mtu mchungaji wale wenzake makasisi na wengine wowote wanaotamani kupumzika katikati ya majukumu yao ya kiimani na hata yale ya kijamii. Kwa Watanzania wote, kwa mujibu wa zama za awamu ya tano, HAPA KAZI TU, naam, pata pia wasaa wa kupumzika. Kisha unasonga mbele kazini. Kweli, "In der Ruhe liegt die Kraft", ni kusema, katika pumziko unachota nguvu.
Ngenza, Anacletus
Dr. Anacletus Ngenza, mhudumu wa Parokia za Kigoma Kanisa Kuu, Muhinda,Kasangezi; baadaye Kituo cha Kiroho na Uchungaji- Mwilamvya na Parokia Mama ya Mulera iliyoizaa Parokia ya Janda nimwanajimbo Katoliki Kigoma tangu 1986 alipokasisishwa.